moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,880
Nakumiss hunnie wangu, furaha yangu mimi hapaMambo VIP wifey??[emoji1]
Nakumiss hunnie wangu, furaha yangu mimi hapaMambo VIP wifey??[emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimejikuta nacheka kwa sauti
Weee achaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hilo nalo neno
Nilishasoma intelligence kwa mshana me siwezi na sitaki kujaribu asanteni jamanMshana Jr nadhani alishawahi kuliongelea hili. Kama sikosei ni yale mambo ya kuuhama mwili na kwenda sehemu zingine kiroho na inasemekana ndiyo njia ambayo hutumiwa na wachawi na wengineo kuingia majumbani huko bila kufungua milango na madirisha. Ni hatari kidogo hasa kwa watu wanaoanza kwa sababu ukikosea kidogo tu basi unakufa. Tena inabidi ufanyie mahali patulivu kwa sababu ikitokea mtu akaushtua mwili uliouacha kabla hujapata muda wa kuurudia basi hutaweza kurudi tena na hivyo unafariki.
Google Astral projection kama unataka kujifunza zaidi na kuna video nyingi YouTube. Hata hapa JF mada hii ilishaongelewa sana. Dunia hii ina mambo mengi yasiyojulikana...
Hapana jaman ni kukumiss tuHahaha, huu ni mtego
Hapana mkuuUsiogope hakuna kishindikanacho Chini ya jua
I miss you more, swtHEARTNakumiss hunnie wangu, furaha yangu mimi hapa
Hahaha, nashukuru maana its rare kupata hio, mpaka nimisiwweHapana jaman ni kukumiss tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna shukrani wewe haya banaHahaha, nashukuru maana its rare kupata hio, mpaka nimisiwwe
Mmh, unakumbuka ulivyokua unanibania??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna shukrani wewe haya bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa vinahusiana ninii jaman nimejiskia kukupa tu sababu unayapendaMmh, unakumbuka ulivyokua unanibania??
Hahaha.. Asante bana shunie. Na ninayapenda kweli!![emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa vinahusiana ninii jaman nimejiskia kukupa tu sababu unayapenda
Najua [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Hahaha.. Asante bana shunie. Na ninayapenda kweli!![emoji2] [emoji2]
Hahaha...wewe mchokoziNajua [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Shemela nakuona nakuonaNipo hapa kuna nini kwani jaman
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mpendane kweli kwelii isiwe bongo movie jaman aibu nitaona mie mjue
Tetramelyz niajeI miss you more, swtHEART