Makapuku Forum

Hee kwahiyo ndio ukamuwakilisha mpaka room ukazama ukaenda kumuwakilisha kwa bed

Mpenzi wangu, wakati unayaona yote haya wewe ulikuwa wapi, na unafanya nini na nani! Ujue kuna tofauti na kuwa kazini na kuzini.
Umenifanya hata hamu ya kunywa chai ya hudhurungi ikate, andaa ushawishi wa kimwili ili niweze kukuelewa maana hiyo gesti ni ya watu wageni wenyeji
 
Anko salamu zikufikie popote ulipooooo
 


Wala mi sikuwepo hapo ila kuna MTU ndio kaniletea hizo hizo habari
Si unajua tena wabongo walivyo MTU anakunyima hela ila ubuyu hakunyimi
 


Wala mi sikuwepo hapo ila kuna MTU ndio kaniletea hizo hizo habari
Si unajua tena wabongo walivyo MTU anakunyima hela ila ubuyu hakunyimi

...asante umeshusa presha yangu, si unajua nina moyo ambao nimeupa kazi nyingine kabisa tofauti na kusukuma damu, kazi ya kukupenda wewe.
Ungependa jioni nikuletee chipsi zenye mayonnaise au mix tape ya Juma Baro
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…