Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Anko mtu umevurugwa na kauli ya h uliyo ambiwa wahi nyumbani au umechoka kupanga mabomu ya matete...basi alipopotea na wewe ukapotea nikajua hicho kiporo kinapashwa kwa heater. sasa mbona wewwe umewahi kurudi, au kiporo kilikuwa kichache cha fasta tu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hela unampa mama yangu au unamuulizia tu bure kama kala
Mkushi hiyo avatar inatisha ujue
Husna mbona hanaga shida...ngoja kwanza, si tulielewana tusiharibiane, maana nikimuita shemeji tu mara Husna anaanza maswali na ni bora nikaenda kuchukuliwa maelezo polisi, yeye ananiswalisha na kunipima mkojo
Tumooo asante sanaKuna mgeni [emoji15] [emoji15]
Kuhudumia huudumii kazi kelele...ni mwanachama wa vicoba, atakosaje hela ya kula? Inawezekana simpi hela ila nampa nguvu za kike kutafuta kula
Anko hekima ifate mkondo...basi alipopotea na wewe ukapotea nikajua hicho kiporo kinapashwa kwa heater. sasa mbona wewwe umewahi kurudi, au kiporo kilikuwa kichache cha fasta tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hela unampa mama yangu au unamuulizia tu bure kama kala
Kwahiyo umekuwa Baba D kipeuo cha pili eenh ndio mjomba wao huyo mfyuuuuu..avatar yako nayo inaleta wahaka, hebu ondoa hicho kinguo cheupe nione maua mengine
Anko simuelewiMh namuona mgeni akipeperuka
Nimeuliza tu mimi jamaan utafkili huduma anatoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anauliza tu
Ndio anko wako huyo mgeni harudi tenaAnko simuelewi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]...ni mwanachama wa vicoba, atakosaje hela ya kula? Inawezekana simpi hela ila nampa nguvu za kike kutafuta kula
[emoji125] [emoji125] [emoji125]..avatar yako nayo inaleta wahaka, hebu ondoa hicho kinguo cheupe nione maua mengine
Kwa kweliiKwahiyo umekuwa Baba D kipeuo cha pili eenh ndio mjomba wao huyo mfyuuuuu
Napambana naeNdio anko wako huyo mgeni harudi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....haunitakiii mema wewe,
Kuhudumia huudumii kazi kelele