Zaidi ya raha
Sema huku kuna anko wangu anaitwa Obe najua atakupokea vzuri japo mda huu katekwa na anayejulikana
Asantee wiii jaman mu wakarimu nyie mpk najihisi kupaa
Haya mrs dr. Luis shika...
Bachelor kikongwe Mkushi
Ss hatumlingishii mtu tushindwe kubebika kisa humu ndani kuna mabachelor wazoefu
Karibu Love,ubarikiwe sana mum
Najua hapo umechezesha akili kama siku ile...anko, sikutekwa na anayejulikana, nilikuwa hapa kikosi cha mizinga nimechelewa mara paap husna muba akanipigia simu kuwa nisichelewe
Unaona ukimuita shemeji utanenepa au.....mdau, mbona hukaribishi mgeni?
Nimekaribisha mda mrefu sana ila naona mgeni ameenda kupasha kiporo.....mdau, mbona hukaribishi mgeni?
Najua hapo umechezesha akili kama siku ile
Unaona ukimuita shemeji utanenepa au
Hongera kwa kuwa mkubwa na kumiliki mtoto mzuri
.....mdau, mbona hukaribishi mgeni?
Shemeji karibu sana
Nimekaribisha mda mrefu sana ila naona mgeni ameenda kupasha kiporo
Hela unampa mama yangu au unamuulizia tu bure kama kala...BH, umeshakula? Leo najisikia mahaba tu ya kukuuliza kama umekula
Mkushi hiyo avatar inatisha ujueBachelor kikongwe Mkushi
...siku ile ilikuwa ni noma, hivi aunt hakukugundua kweli maana yule dada alijipulizia marashi makali hadi mwenye mafua anaya'sikia' mix ya revola soap na gift of zanzibar
Mh namuona mgeni akipeperuka.....sio kupaa tu, ngoja nije nikupaishe ufike kileleni.
Unatumiaga kinywaji gani kwanza?