Asante sana
BlessedHope kwa maneno ya baraka, asante anko
Lyon Lee kwa UF na asante kwetu sote tulio hapa. Magazeti yatawajia muda si mrefu (itapendeza zaidi
ukijua kwamba mimi huwa siweki magazeti, subirini shululu aagane kikubwa na Tumosa ndo atayaleta).
Tukumbuke tu kifungua kinywa unaweza amua hata kula kiporo, sio kila morning chai na chapati mbili.
...