Haujaelewa ujue soma vizuri hapatikani labda sababu ya hali ya hewa kama kafungiwa huko ndio ilikuwa maana yangu woiii naona bado mnamuwaza baba d harudi huyo

Hivi jaman baba d yeye ndio kidume au kila mabaya lazima mumuweke hivi mjue anajing'ata mana ananiuliza namwambia kapuku huko wanakutaja kwenye mabaya yote