Makapuku Forum

Hapana mimi namshangaa kila siku kukusema au alikuja kwako ukamnyima juisi [emoji41]

..hata mimi nashangaa, yaani Shululu na anko mdogo hawana raha kabisa tangu aunty yangu atumiwe picha ya kuku, tena picha ya kuku kuchi. wanaumia sana wanabaki kumpiga majungu aunty yangu. Vibaya hivyo jama, jana ilikuwa jpili
 
...utasubiri sana. pambana tu na hali yako. Labda uichinje picha ya kuku uliyotumiwa.
Na hivi picha hujapewa negative ndo basi tena ukiipoteza huna ushahidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..hata mimi nashangaa, yaani Shululu na anko mdogo hawana raha kabisa tangu aunty yangu atumiwe picha ya kuku, tena picha ya kuku kuchi. wanaumia sana wanabaki kumpiga majungu aunty yangu. Vibaya hivyo jama, jana ilikuwa jpili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…