Uzima wenyewe huu wa kuunga unga, siku Mkiona kimya sana bila taarifa, njooni nyumban mpate taarifa zaid, yawezekana nikaw no more, mkiwahi mtaniwekea mchanga, mkichelewa mtanisomea dia,maana hakina taarifa wala habari, ukiwadia muda wake kimya kimya..