makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,446
- 108,502
Kakupiga chenga zipi kwanza, za messi, gaucho, de lima, zizzou... Chenga za mchele au chenga za tv ya analojia!!?[emoji23] [emoji23]Na kweli upo
Sio mbaya muhimu uzima chief ,mm jana nimeshinda namtafuta moneytalk ananipiga chenga
Yaan za tv tena chogo male umuone mara akimbie mara akwambie hilii mara lileeKakupiga chenga zipi kwanza, za messi, gaucho, de lima, zizzou... Chenga za mchele au chenga za tv ya analojia!!?[emoji23] [emoji23]
Itakuwa za gauchoKakupiga chenga zipi kwanza, za messi, gaucho, de lima, zizzou... Chenga za mchele au chenga za tv ya analojia!!?[emoji23] [emoji23]
Ni kweli mkuu, yapo hayo mkuu, sijatunga mistar kama fid q, ni ukweli uliopo..Maneno mazito chief
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Itakuwa za gaucho
Dah!! Pole sana mkuu, unanikumbusha maisha ya antena.. geuzia mjini, kushoto.. hapo hapo.. aiyaa mbona umeichezesha hyo antena, fanya km unarudisha kushoto.. ewaa hapo hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan za tv tena chogo male umuone mara akimbie mara akwambie hilii mara lilee
Aah.. ni za maudhi sana, sidhani km leo angeamka na furaha..Itakuwa za gaucho
Yaan wachezesha antena uwakute shunie na tumosa vurugu tupuDah!! Pole sana mkuu, unanikumbusha maisha ya antena.. geuzia mjini, kushoto.. hapo hapo.. aiyaa mbona umeichezesha hyo antena, fanya km unarudisha kushoto.. ewaa hapo hapo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Morning mkuuMorning mkuu
KaribuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Makaveli