Jirekebishe:
Mimi sijajipa urais wala hakuna aliyenipa!!!
unazuga (eti si nimeuliza)
Kwani hujaona maelezo post # 1 au 3
Humu hakuna superstar wala rais Bali ni funny/swaga tu
Ukileta mbwembwe unachanwa tu
BUT YAMEISHA
Hatuhitaji kukujadili
.............................