makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,490
Na kwako pia mpendwa[emoji524]TUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa masaa yote.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina
SIKU NJEMA KWENU WOTE[emoji120]
Morning jirani.Morning all kapuku
[emoji23] [emoji23]Hatukinao[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nawe ntake radhi vile vile...Mbona mi sioni alichokukosea?!
Ulikuwa kwenye siku yako ya kudhamini magazeti na muziki
Kwahiyo ukawa muhisani
Sasa akuombe radhi yann na mtu amefafanua vizuri tu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] .. langu mie tena, kivip!?Ni LA maka kumi hilo sio langu
Mzee wa nachechemea...1968 - Fresh Jumbe, mwanamuziki kutoka Tanzania anazaliwa
Alikuwa mbishi saana, bob aliwah kumwambia rafiki yake atakufa kwa ubishi wake..1944 - Peter Tosh, mwanamuziki wa rege anazaliwa
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Nawe ntake radhi vile vile...
Wewe ndio umelileta humu[emoji15] [emoji15] [emoji15] .. langu mie tena, kivip!?
.....nakwenda polepole[emoji1] [emoji1]Mzee wa nachechemea...
Aisee....Alikuwa mbishi saana, bob aliwah kumwambia rafiki yake atakufa kwa ubishi wake..
Mim tu ndio ruhusa kukuita hvyo, wengine bonyeza makonzi tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe ndio umelileta humu
Domo km umesokomezwa embe mbichi..[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Bora aniite mpendwa wangu nitaitika but sio weweMim tu ndio ruhusa kukuita hvyo, wengine bonyeza makonzi tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchumba wako mama mchuchu amesema tujifunze kunyamazaDomo km umesokomezwa embe mbichi..
Morning shemelaAmen, Asante kwa neno mama mchungaji Ubarikiwe sana