Makapuku Forum

Isayaya 62:6 Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha Bwana, msiwe na kimya


ULINZI WA MUNGU BABA WATUZINGIRA..TUSHUKURU
 
TUOMBE:
UHIMIDIWE JEHOVA MFALME.
Ahsante kwa ulinzi wako kwa masaa yote.
Tubariki Bwana.
Leo tukawe mikononi mwako.
Poza wauguao, Fariji wenye huzuni, Leta Umoja Upendo na Amani kwa watu wako.
Malaika wako na wakafanye kituo kwa kila mtu , tuingiapo na tutokapo.
Naomba ni katika Jina la Yesu Amina

SIKU NJEMA KWENU WOTE
 
Mama asante sana hakika kazi ya bwana unayo share na sisi inatufanya kila siku kuianza na baraka
 
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji Ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…