Inog01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,294
- 1,968
Zilikuwa kama 3 afu nakomaa intelligenceHongera sana mkuu, uwepo wako hapa Leo tu umefikisha likes 150 wakati ulikuwa huna hata moja
Hongera sana
Zilikuwa kama 3 afu nakomaa intelligenceHongera sana mkuu, uwepo wako hapa Leo tu umefikisha likes 150 wakati ulikuwa huna hata moja
Hongera sana
Lol..... Hapo ulichemsha,Zilikuwa kama 3 afu nakomaa intelligence
Pamoja sanaUsiku mwema makapuku wote.....
Peace and Love
Mh! kule intelligence zingebaki hizo hizo chiefZilikuwa kama 3 afu nakomaa intelligence
Kule pia zinatoka ila uwe na points, mi nilikuwa na likes kama 2000 nilipokuja hapa na karibu zote nilitoka nazo kuleMh! kule intelligence zingebaki hizo hizo chief
Mwaka mzima nipo huko, kumbe watu wanataftia hku , kule wanaspend tu titleMh! kule intelligence zingebaki hizo hizo chief
Ujue kule unaweza kosa cha kuchangia mda mwingineKule pia zinatoka ila uwe na points, mi nilikuwa na likes kama 2000 nilipokuja hapo na nilitoka nazo kule
Duh zote hizo ulizitolea kule? mana naonaga kule watu wavivu sana kutoa likesKule pia zinatoka ila uwe na points, mi nilikuwa na likes kama 2000 nilipokuja hapo na nilitoka nazo kule
Hahaa ni kweli mkuu, unajikuta unasoma comments tuUjue kule unaweza kosa cha kuchangia mda mwingine
Poa wakuu kuweni na usku mnnoHahaa ni kweli mkuu, unajikuta unasoma comments tu
Usiku mwema na kwako piaPoa wakuu kuweni na usku mnno
Kule mi nakomaaga naoDuh zote hizo ulizitolea kule? mana naonaga kule watu wavivu sana kutoa likes
Hapa hatuna hata mwezi toka uzi upostiwe mkuu hivyo usipgope hujachelewaMwaka mzima nipo huko, kumbe watu wanataftia hku , kule wanaspend tu title
Na kwako piaPoa wakuu kuweni na usku mnno