Makapuku Forum

Ahahahhahahahahaha
 
.....dunia ya Magu hii, usawa wa kijinsi na kijinsia. Me nachoweza kumsaidia ni kumvua tu, maana kuna wadada wanavaa nguo za kubana hadi unajiuliza atavuaje bila kumsaidia
Mfyuuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambana na hali yako
 
....hilo ndo la kushukuru na endelea kumuombea afanikiwe zaidi. Hajawahi kukusahau pamoja na kujiingiza majaribuni kila anapotaka
Ameen [emoji120] [emoji120] binamu namuombea kila siku iitwayo leo
 
Reactions: Obe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…