Makapuku Forum

.....nami nakusalimia aunty yangu. Hujambo lakini.

Nipo hapa nimepumzika maana jua lilikuwa kali sana hadi paka wa jirani kakataa maziwa anataka icecream za Azam
Binamu achana na salaam hii ya kawaida hivi huoni makiss hayo ya maka na mpendwa wako wanaanzaga hivyo hivyo ahahhaha ila huyo paka kiboko wa kukataa maziwa na kutaka icecream
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…