Makapuku Forum

Na ya 4.. kitu kimoja kikibana.. friction yake inakuwa kubwa kweli, na effect ya friction inakuja kiurahis[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alifeli tu hakufanya majaribio..[emoji23] [emoji23]
 
Na ya 4.. kitu kimoja kikibana.. friction yake inakuwa kubwa kweli, na effect ya friction inakuja kiurahis[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alifeli tu hakufanya majaribio..[emoji23] [emoji23]
Walahiiiii jamaa alifungua sana akili za wengine kuanza kuwaza nje ya box...hivi naye alikua dwanzi wa dizaini gani utoe mawazo fikirishi alafu unashindwa kuitambua nakujua thamani ya K watu wengine bwanah shida tupu

Apo kwenye kubana kwani uongo utamu kunoga ukisoma vizuri??
 
Yaani ukipata k tu, vile siswali vingine laini tu، unashuka km ulikuwepo wakat pepa inatungwa..[emoji23] [emoji23]
Inshort utapanda cheo kutoka mwanafunzi mpaka FUNDI na utawapata wengi wa kuwasaidia alafu uzurii ile unapiga kibooklet cha kwanza cha pilii tatu na kuendelea mbona watasimuliana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…