BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ni kweli chief K inategemea na matumizi au kitu kinavotanuliwa (expansion) ...na ukubwa wa K yaani constant uko directly proportional na matumiz halisi ya utanuzi (japo baadhi ya vitu vinatakiwa viwe constantConclusion ni hivi.. ukisoma vizuri phyisics, expansion of material.. costant "K" inaexpand..inakuwa kubwa yaani
Sio mim, ni physics wakina galileo, newton, einsten, faraday etc ndio wameleta balaa hilo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amen[emoji524]YEREMIA 1:19 NAO WATAPIGANA NAWE ;LAKINI HAWATAKUSHINDA:MAANA MIMI NIPO PAMOJA NAWE ,ASEMA BWANA, ILI NIKUOKOE
MBARIKIWE[emoji7][emoji7][emoji7]
Vp ilifunguka[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Ubarikiwe nawe bibie[emoji524]YEREMIA 1:19 NAO WATAPIGANA NAWE ;LAKINI HAWATAKUSHINDA:MAANA MIMI NIPO PAMOJA NAWE ,ASEMA BWANA, ILI NIKUOKOE
MBARIKIWE[emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii shule iko wapi ??
Naweza kumshawishi ata bro ampeleke shunie [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Si kwa mimi.. mie nikiitwa baby napat stress, naona kama kanizereu, kaona nna mambo ya kitoto, kaona shughuli yangu ya kitoto, akili n kila kitu cha kitoto..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Proportionality costant.. ila upanuzi ukizid elasticity limit inakuwa plasticity..Ni kweli chief K inategemea na matumizi au kitu kinavotanuliwa (expansion) ...na ukubwa wa K yaani constant uko directly proportional na matumiz halisi ya utanuzi (japo baadhi ya vitu vinatakiwa viwe constant
Physcs raha sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524]Zaburi 22
26 Wapole watakula na kushiba, Wamtafutao Bwana watamsifu; Mioyo yenu na iishi milele.
MCHANA MWEMA MBARIKIWE WAPENDWA[emoji7][emoji7]
[emoji123] [emoji123] [emoji123] hakika maadui hawana nafasi Bwana yu pamoja nasi[emoji524]YEREMIA 1:19 NAO WATAPIGANA NAWE ;LAKINI HAWATAKUSHINDA:MAANA MIMI NIPO PAMOJA NAWE ,ASEMA BWANA, ILI NIKUOKOE
MBARIKIWE[emoji7][emoji7][emoji7]
Hahahahahaha sasa chief ikifikia hatua hiyo si ndo inakua kama kudumbukiza chozi baharini make wanasema hapa ata ufanye modifications zipo haiwezi kurudi katika hali yake ya mwanzo K inazidi kuwa kubwaaa kubwaaaa yaaan mpaka kwenye four figures huionii....Proportionality costant.. ila upanuzi ukizid elasticity limit inakuwa plasticity..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaa... Chiz we naona umeamua kushuka kabisa kuonesha msisitizo..Hahahahahaha sasa chief ikifikia hatua hiyo si ndo inakua kama kudumbukiza chozi baharini make wanasema hapa ata ufanye modifications zipo haiwezi kurudi katika hali yake ya mwanzo K inazidi kuwa kubwaaa kubwaaaa yaaan mpaka kwenye four figures huionii....
Apo namba 4 chief utaomba pooo hasa kwa wewe unayejifunza kwa majirani
Daaaaaaah chief ujue inabidi tuwekane sawa make wasibaki na maswali kichwani wengine na kujiuliza ni K ipi???Hahaa... Chiz we naona umeamua kushuka kabisa kuonesha msisitizo..
Y=kx
Where k ni factor ya proportinality..
Dah, arif nimemiss kusolve solve
Sio k ya roma bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaaaaaah chief ujue inabidi tuwekane sawa make wasibaki na maswali kichwani wengine na kujiuliza ni K ipi???
Na mm nimemis kinomaa enzi hizo phsics inaitwa fikizia
Wewe unajua hivo sawa ....husna unafikiri anawaza nini kama sio yenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sio k ya roma bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hhmm.. kwa mzaramo yule..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe unajua hivo sawa ....husna unafikiri anawaza nini kama sio yenyewe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Apo chief ndo unanifanyia wazungu wakiitacho not fair ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hhmm.. kwa mzaramo yule..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mie simo..[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo nahisi nimefanya kile kitu kwenye soka tunaita fairplay..Apo chief ndo unanifanyia wazungu wakiitacho not fair ...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshikaji wangu husna unataka anione nimeona maono yake ??
Chief niachie amani na mshikaji wangu make anko obe akijua bhasi ishakua nongwaHapo nahisi nimefanya kile kitu kwenye soka tunaita fairplay..
Maana kwa mzaramo yule kujiongeza, kumaanisha visivyomaanishwa..[emoji23] [emoji23] mie simo chief [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora ujipendekeze yaishe maana bora ukutane na wajeda ule doso kuliko kichambo cha mzaramo huyo..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chief niachie amani na mshikaji wangu make anko obe akijua bhasi ishakua nongwa
Tufanye hivi tuendelee kushikana bega mpaka hiyo constant K tupate muafaka