Makapuku Forum

Maka kwa sababu uliingia chaka mwezi naa.... Na mimi nakuaga naingia chaka mpaka November.... Yoyote atakayeniulizia utampa taarifa kwa niaba yangu tafadhali ....sawa Maka.?
Sawa ndugu yangu, ondoa shaka mufti.. nakutakia kila la kheri, mambo yako yafanikiwe kiulain, urud tena tuendeleze gurudumu la kapuku. Inshaallah kheri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…