Asante my Husna kwa kutukumbusha Historia, ujue nini? Sijachelewa kupandisha hizi pichamaana siku mpya huanza saa sita usiku na sio saa kumi na mbili jua linapokuchwa
Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda