Makapuku Forum

KF ilikuwa moto kipindi kile,yaan ni bandika bandua,Magazeti ya Jimena,historia ya dikteta ,picha za bitoz,top ten ya kitabu.Pengine nyakati zinaweza kujirudia!
May b.. sisi kina nani mpaka tuseme hapa, no 1 knows, wht tommorow brings.. ikirud itakuwa poa sana..

But mie nichukue nafas hii kuwashukuru wote ambao nilipopotea wao wapo walikuwa wakiliendeleza guruumu la makapukuz, am proud of u, ilianza kama masihara but now tunaelekea kuwa kama ndugu.. mnajijua ninaowaongelea hapa, jipigien makofi kimya kimya..
 
Wameshapiga
 
KF ilikuwa moto kipindi kile,yaan ni bandika bandua,Magazeti ya Jimena,historia ya dikteta ,picha za bitoz,top ten ya kitabu.Pengine nyakati zinaweza kujirudia!

....oh, yote uliyoandika yapo, na zaidi. Labda kama unapenda yaletwe na walewale kwa mtindo uleule.
Kuna Magazeti , UF/BBC, Historia, Je wajua, muziki, Upuuzi wa Lee, Sala na Nukuu za Nguvu.

Kuna kitu umekikosa mdau?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…