Ntatengua kauli siku ya harusi yenu, kwa sasa nisamehe tu,naona kibuz ni jina sahihi.. kama hamlipendi ndio mjikaze mfunge ndoa.
Hahaha, unamaneno makali asee, hebu nioneshe mfano wa kujikazaNtatengua kauli siku ya harusi yenu, kwa sasa nisamehe tu,naona kibuz ni jina sahihi.. kama hamlipendi ndio mjikaze mfunge ndoa.
Sawa mpenzi, hapo umenenaBabe maneno yawakosaji hayo yapuuzie
Kazi njema pia my one and onlyOky babe, nikutakie kazi njema ila usisahau nakupenda sana! mwenyezi mungu akulinde
Wee unaita yawakosaj sasa mie nilichokikosa ni nin.. mie nampulizia akuchukue jumla we unajishingondoa.. aheri hata uchukuliwe reja reja utaishia kukopwa kabisa.. hutujui vidume vya siku hizi, wao kwichi kwichi tu, mapenz hata kwa wazaz wetu tunayapata..Babe maneno yawakosaji hayo yapuuzie
Mie ndio nnachokitaka hicho mprove.. mtualike na harusi, sio akukule tuu basi mpaka elasticity iwe plasticity..sema mpenzi sio buzi, we love each other na tutaprove hilo
Mfano kama shunie na lee.. wamejikaza wale... Sasa hv wapo togethr as 1Hahaha, unamaneno makali asee, hebu nioneshe mfano wa kujikaza
Mfano mwingine tumosa na jiran yangu shululu, wamejikaza bhna.Hahaha, unamaneno makali asee, hebu nioneshe mfano wa kujikaza
Ngoja ajeebcc Obe naomba muongozo
Asante kushukuruAsante kwa leo katika historia husobe
Shemela wangu moneytalkBabe maneno yawakosaji hayo yapuuzie
Dah!! Nasikia mwamba alikuwa sungura sungura kweli huyu, aliviweza vibabu vyetu.
Wee unaita yawakosaj sasa mie nilichokikosa ni nin.. mie nampulizia akuchukue jumla we unajishingondoa.. aheri hata uchukuliwe reja reja utaishia kukopwa kabisa.. hutujui vidume vya siku hizi, wao kwichi kwichi tu, mapenz hata kwa wazaz wetu tunayapata..
Haya turudi kwenye kauli ya wakosaji.. nilichokikosa mie nin wee mtoto wa kike, hiv ningehitaji ungechomoka kweli..
Toti fala tuuMfalme totti...
Roma huwaambii kitu kwa totti ukitaka kufa simama pale roma sema totti fala tuu, watu watakusarandisha kama umeiba kariakoo..
Ila ameuchafua mwili wakeWeezy.. jamaa yuko vzur ana lyrics tamu sana.
We utakuwa unaizungumzja roma catholic iliyopo pale mchikichini.. sio roma italia..Toti fala tuuNiko Roma hapa na sijafanywa lolote
Kibuzi malika hichooSafi tu, niaje we kibuz chake moneytalk
vibabu vyako navyo vilizidi kudumaa ajili loh
Shukrani.