Dada angu ni nauwezo wa kukupa like ngap kwa post..Fanya mambo na Mod nikupe like kuanzia sasa mpaka 12... youngblood alituwakilisha vyema ila yapendeza top 10 zote zitokee huku manta...
Tumechoka umbea wenu
Muwe mnakuja na habari kamili sio "nasikia"
Km kaeli wachukue point zao lkn bingwa ni Yanga tu sababu Azam keshajifia
...................
Dada angu ni nauwezo wa kukupa like ngap kwa post..Fanya mambo na Mod nikupe like kuanzia sasa mpaka 12... youngblood alituwakilisha vyema ila yapendeza top 10 zote zitokee huku manta...
We nipe tu kadri inavyowezekana and i will appreciate kwasasa karibia ile safu wakongwe watakuwa out maana tunaendelea kuwapangua mmoja mmoja, pamoja na figisu figisu za hapa na pale ila sio haba tunaongoza