AmeeeeniiiAsubuh njema ndugu zangu, neema na baraka zake muumba ziwe nasi, atuongoze katika mambo yetu atufanikishie mipango yetu juu ya yale tunayotaman kuyafanya katika siku ya leo, atulinde na kutuepusha na mabala inshaallah
Nawapendeni ndugu zangu, asubuh njema kwenu.
Asante mamaZaburi 122
1 Nalifurahi waliponiambia, Na twende nyumbani kwa BWANA.
2 Miguu yetu imesimama Ndani ya malango yako, Ee Yerusalemu.
3 Ee Yerusalemu uliyejengwa Kama mji ulioshikamana,
4 Huko ndiko walikopanda kabila, Kabila za BWANA; Ushuhuda kwa Israeli, Walishukuru jina la BWANA.
5 Maana huko viliwekwa viti vya hukumu, Viti vya enzi vya mbari ya Daudi.
MorningMorning mme mwee
Asante kaka,nashkuru aisee.Kaka nakusalimia na kukupa poleee
Poleeee sanaaaaa
Asante kwa magazeti shemejiView attachment 595177Asubuhi njema makapuku wote
Pamoja sana shemeji, za uzima lakiniAsante kwa magazeti shemeji
Haya majina mnayo fundishwa na wake zenu myaache mtumie majina ya wanaume kama vile MTWASI sio Mme mweeMorning mme mwee
Njema shemeji umejipangaje na kuanza wikiPamoja sana shemeji, za uzima lakini
UbarikiweAsante mama
Dada ulimkafu utwamashiku amingiUbarikiwe
Kwanza nashukuru Mungu kwa kuamka salama, pili ni jukumu la kazi tu ndilo lililopo mbele yanguNjema shemeji umejipangaje na kuanza wiki
Shukrani jirani.. hapa nishapata magazeti ya kununua, sio kufika kwa muuza magazeti na kubung'a bung'a macho tu kama mchawi aliyekamatwa ukweni..
Ubarikiwe sanaAmen, Asante mama mchungaji kwa neno la uzima
Asante shemeji kwa utambuzi wa muumba pamoja na kujua wajibu wako wa kaziKwanza nashukuru Mungu kwa kuamka salama, pili ni jukumu la kazi tu ndilo lililopo mbele yangu
Amina tunakupenda pia ubarikiwe usipungukiweAsubuh njema ndugu zangu, neema na baraka zake muumba ziwe nasi, atuongoze katika mambo yetu atufanikishie mipango yetu juu ya yale tunayotaman kuyafanya katika siku ya leo, atulinde na kutuepusha na mabala inshaallah
Nawapendeni ndugu zangu, asubuh njema kwenu.
Pole utakuwa sawa tu kuna wakati huwa inatokeaWa mwisho kulala, wa mwanzo kuamka..
Kama nalala sebuleni...
Nawe pia mkuu Shululu ubarikiweView attachment 595177Asubuhi njema makapuku wote
Amin.. baraka zake muumba ziwe juu yetu sote.Amina tunakupenda pia ubarikiwe usipungukiwe
Naamin hvyo.Pole utakuwa sawa tu kuna wakati huwa inatokea