Achana na bia kabisa mkuu kama unataka kuacha.Nzuriiii
Kesho tunakunywaa bia na kuimba wimbo wetu ..make hizi siku naonja sinywiiii...
Kuzimu hakuna bia ....
Mke mweeee hi![emoji113] [emoji113]Awe baba yangu mara ngapi jaman[emoji4]
Mmmh kunaonekana kuna mautramu mpaka utake kujitekesha tena acha na mimi na baba d wangu tuendelee kutekana [emoji41][emoji41][emoji41] hakuna namna ingine ila tulikumiss sana ujue tulimiss mambo zako zileZa mimi salama tuu.. sijui ww ndugu yangu..
Huku nilikotekwa ni kwema n soon ntajitekesha tena..
Kuna watu lazima wataona mazingaubwe kesho.Nimeshazoea mie T naona kawaida tu
Hivi baba d atafurahi mimi na wewe tukiachana jaman asinifanyie hivyoSimuelew
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimefurahi tu shem jamanHahahaaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani vipi shem?
Bongo movie [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuna watu lazima wataona mazingaubwe kesho.
Stay tuned.
hi mke mwee [emoji137]Mke mweeee hi![emoji113] [emoji113]
[emoji120] [emoji7][emoji173]
UmeanzaMama vifunguu
Hahahaaaa...[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nimefurahi tu shem jaman
Tuwazima hofu kwakoNawasalimia tu mimi jamaan katika jina la Bwana Yesu kristo [emoji7][emoji7]
Wamefanyaje?Bongo movie [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Safi tuu mkuu...Niajeee mkuu
Wife sijui unamsimuliaga nn make kuna kipindi huwa anakuuliziaa
SawaNapita tuu njia.. shemeji kunyoosha miguu.
Ewaaaaaaa [emoji122]Safi tuu mkuu...
Mkeo ni swahiba wangu.. nadhan kuishi nae vizur ndio sababu..
Hizo emoji zako na uncle makaveli[emoji120] [emoji7]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] uctifanyie hvo jamani mara hii umemiss kutekwaHata mie nashkuru kwa hili..[emoji23] [emoji23]
Ika nmemithi kufichwa.[emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamefanyaje?
Kuna movie mpya kwani?
Me mzima sana mke mwee shemela wangu shululu jaman anaendeleajeTuwazima hofu kwako