Huyo anayeitwa husna muba avatar yake anashare na obe hao ni mtu na mpendwa wake yaan ni wapenzi eti
lee empire ni baba d wangu yaan ni shemeji yako wa kwangu mimi tu kiboko yangu achana na maneno ya binamu obe ukimsikia akimuongelea mana binamu obe anatamani kuona me na anko wake tunaachana ili afanye sherehe