Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
AminHakika Mwenyezi Mungu ni mkuu kuliko yeye alieumba kila kitu anazidi kuyaokoa maisha ya kipenzi chetu tundu lisu
Asante kwa upendo wako kwangu asante kwa kuniamsha tena salama siku hii uliyoifanya mwenyewe
Asante kwa ajili ya sifa na utukufu wa jina lako
Naamini makapuku mko safi na kama hujaamka poa basi Mwenye enzi Mungu akusaidie na kukuponya
Asubuhi njema makapuku wote
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Asante mke wa Shululu mpendwa wa Obe rafiki yake..... Ha ha ha ha ha..... Leo lazima uniambie which is which
Poa inakuwaje wewe?!Mhenga mambo niaje?
morning mama nikajua obe na hiyo avatarGood morning
Naona siku hizi mwendo wa kusalitiana na majungu full ....Hilo la bakulutu upo sawa, hilo la kutekwa unamjua kabisa mzoefu wa kutekwa akatekeka kiurahisi naye si mwingine bali ni mjomba wangu Leeeeeeeeee Empireeeeee (kwa sauti ya Joji Marato wa AITIVIIIIIIIIIIIIIIIII)