Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mpendwa bwana[emoji1] [emoji1]Hilo la bakulutu upo sawa, hilo la kutekwa unamjua kabisa mzoefu wa kutekwa akatekeka kiurahisi naye si mwingine bali ni mjomba wangu Leeeeeeeeee Empireeeeee (kwa sauti ya Joji Marato wa AITIVIIIIIIIIIIIIIIIII)
Bora ulivyowapa vidonge vyao[emoji1]
[emoji87] [emoji87][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nakujua ujue na matusi yako
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hapo nimekupata vizuri sana shemela
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Karibu ukapukuni (KF) shem moneytalk
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Woyoooooooo shemela wangu mie asante sana jaman [emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] nyimbo ya baba d wangu mimi apa shunie anaipenda tu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
DuuMfyuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alitaka kuweka picha zako ujue na akaaga anaenda whatsapp video call kuongea na wewe ila ana hasira na KANA [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Binamuu unanitafuta ninii jamaan mjomba ako kalala hapa me nipo busy na jf
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tetraaaaaa
[emoji15] [emoji87]Kuna mtu anaitwa obe huyo ni binamu yangu me na baba d ila sasa huyo binamu ujue anamfundisha baba d wangu jamaan tabia mbaya utamzoea tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Okay, ngoja nimsalimie? Ushamwambia mimi ni mmoja wa wamiliki wa simu mpya ya Samsung Galaxy?
[emoji4] [emoji4] [emoji4]...baba D, yeye ndo master-key
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji12] mambo ya kumiliki Samsung galaxy binamu nilisahau ujue kabisa
Mfyuuuuu.....Wewe binamu ndio master key unaniharibia mume ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....ujue aunty hapo ndo unakoseaga sasa, yaani kuna habari za msingi lazima wageni wako uwaambie, wasiwe wa mwisho kujua
[emoji1] [emoji1] mnanichekesha mjue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu hilo la kumiliki Samsung galaxy kesho nitamwambia leo si ndio kafika jaman
Mi sijamboHamjambo makapuku
[emoji15] [emoji87]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]