MATUKIO
1960 - Iraq, Iran, Kuwait na Saudi Arabia ziliunda jumuiya ya OPEC.
Asantee[emoji4]
OPEC - Organization of the Petroleum Exporting Countries iliyoanzishwa kwa lengo la kumarket na kucontroll uzalishaji na uuzajii wa mafuta katika nchi mbalimbali mwanzoni zikiwa tano (Iran, Iraq, Kuwait,Saudi Arabia, Venezuela),
Mpaka sasa zishafika nchi 14 katika umoja huu zikiwa ni pamoja na Algeria, Angola,Ecuador, Equatorial Guinea, Gabon, Iran, Iraq, Libya, Nigeria, Qatar, Saudi Arabia(the de facto leader), United Arab Emirates, and Venezuela na Indonesia
1979 - Nur Muhammad Tarak, Rais na na aliyekuwa Waziri Mkuu wa Afghanistan aliuawa katika mapinduzi ambapo Waziri Mkuu Hafizullah Amin alishika madaraka