Makapuku Forum

Makapuku Forum

...asante mpenzi wangu.

CAT%2BGIF%2B%25E2%2580%25A2%2BSweet%2Bhead%2Bscratch%2BPlease%2Bdont%2Bstop%2Bhuman%2BI%2Blove%2Bthat.gif
Binamu kwani hiyo pole ilikuwa yako au furaha ya kuwekwa kwa avatar niwekee eloko oyo mie
 
Muziki: Kuwashwawashwa, Jikune

Habari za muda huu Makapuku waheshimika, natumaini siku yenu imeenda vizuri kabisa na kwa sasa wale wapenzi wa soka, yeah, futbol , nawaongelea wapenzi na mashabiki wa UEFA, leo ndo msimu unaanza. Ha hahahahaha, najua shululu ukisikia uefa unajihisi kupoteza macho maana mechi zenu za Futuhi ni kesho kutwa. Hapa banda umiza ninapoangalia mpira wameweka TV mbili, moja kuwaangalia aseno na nyingine kumwangalia buraza K.

Kauli nyingine bhana zinafurahisha sana, well, inawezekana ukadhani nimesahau kukusalimia wewe mpenzi msomaji wa kipengele hiki. Sijasahau, salamu ni jadi yetu na mara zote kusalimiana ni jadi ya muungwana. Uliisikia kauli ya mheshimiwa tuliyempa dhamana ya kuhakikisha tunayopenda kibinafsi hatuyafanyi ili kujenga jamii iliyo angalau sawa, eti kuwashwawashwa. wataachaje kuwashwawashwa ikiwa unadhani wewe ndo mwalimu wa imla, unasoma tu na kututaka tuandike, ukiruka nukta au coma tukiwashwa lazima tujikune. Hutaki wajikune punguza upupu.

Muziki sasa, tumwangalie Kidumu leo tena maana nimejisikia tu kukusikilizisha sauti nzuri

Muziki wa Mdhamini

Hivi fungus ndo MBA? Sio MBA ile digirii bhana usiharakie kujibu, naongelea zile ndude zinatokea kwenye mwili ukijikuna ngozi inatoa unga.

Kwa jinsi ya kiume tunajua kabisa utamu wa hizi mba maana zikikuwashawasha ngozi za kende basi kuna utamu fualni amazing na sio agonizing unaousikia. hata mbele za kadamnasi wallah unaweza kujikuta unatia mkono na kupekechapekecha.

Muziki wa mdhamini kwetu wote unadhamini wa na shangazi yangu asiyependa shanga a shangaa Shunie
 
Asante binamu
 
Binamu asante sanaaaaa ila nimecheka sana kwenye kende kuwashwa na mba ujue binamu serious natamani kukujua ujue anko wako tu jamaan
 
ha hahahahaha, mbona tunajuana sana aunty yangu wewe! Haya majina tu ya kwenye JF, utani wangu ni kwenye kuandika tu na si kwenye kuongea. Si niliwaambiaga humu kuwa mimi ni DZ, mmesahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom