Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Kwa hapa nilipo jua linapiga la kutosha huko vipi mvua IPO?Vip mvua zinanyesha huko
Huku pakavu kabisaKwa hapa nilipo jua linapiga la kutosha huko vipi mvua IPO?
Huku mda wa mvua kuanza bado mapaka mwezi ujao ndo tunaanza kuitazamiaHuku pakavu kabisa
Akaloge watamkubali tuMsaidie mwenzio
Khaa! Hivi hii story hadi huku ishafikqEbu msaidieni mwanaume mwenzenu shedede analialia huko toka 2012 hana mwanamke hajapata wa kumpenda ebu mwambieni wapiii anakosea
Sijapata wa kunipenda, hili gundu au?
HakikaApambane na hali yake kwa sasa
Nyagei
Anakimbia gharama mambo ya laki si pesaeti laki ya kutengeneza nywele shedede buana
Ndo mda mwafaka nishauri nduguDada hii maada nimeiona ila nilikosa cha kumshauri ila kama yuko sirias angeileta huku ninge shauri na ujanja ninge mpatia
Duh aiseenapatwa na simanzi nikikumbuka hii kitu
Ila shout out to husna muba
post using my macbook air using jamiiforums app
Ukimpima na me niwepo pembeniAnaleta uchochezi
Nyagei
Kaka akee za weweDadakeee
Afande shululu niajeee?Duh aisee
Ndio mana nikawaletea ebu msaidieni mwenzenu toka 2012 kwahiyo babe wake ni geisha auDada hii maada nimeiona ila nilikosa cha kumshauri ila kama yuko sirias angeileta huku ninge shauri na ujanja ninge mpatia
Ni siri kati ya mpimaji na mpimwaji.Ukimpima na me niwepo pembeni
napatwa na simanzi nikikumbuka hii kitu
Ila shout out to husna muba
post using my macbook air using jamiiforums app
Daahnapatwa na simanzi nikikumbuka hii kitu
Ila shout out to husna muba
post using my macbook air using jamiiforums app