KabisaaKweli aisee
Mdada, sijawahi ona umeitumia ile emoj yene sura nyekundu. kulikoni??!!![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]
Akaaa we sio mimi huyooWewe husna the bossy lady
Acha uchochezi husina, sio vizuri ujuwe[emoji23] [emoji23] jiongeze
Karibu sananawasalimu makapuku wenzangu wooote,nimewamiss Sana,nna wiki ss application ya jf haifunguki kwa cm yng hapa nimeingia through operamini free basics tabu tupu cpati jukwaa ktk mtiriko stahili,ntajitaidi kutatua changamoto hii tuwe pamoja km kawaida nawapenda na kuwajal ndg zangu muwe na jumapil njema
Unalima nn mkuu?Ndio mi mkulima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa si atakuwa ndugu yangu huyo ninaye fanana naye
Mbona siijui hiyoMdada, sijawahi ona umeitumia ile emoj yene sura nyekundu. kulikoni??!!!
Wewe unaionaje hii ishu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Badala unishukuru nakusaidia[emoji1] [emoji1] [emoji1]Acha uchochezi husina, sio vizuri ujuwe
Angalia vizuri bhnMbona siijui hiyo
Nahisi kwenye my phone haipo
Iko poa komaa kitaeleweka soonWewe unaionaje hii ishu?
Kwahiyo unataka wali uliopikwa krisimasi mimi nile siku ya boksing dei, wengine wakiwa washashiba??Badala unishukuru nakusaidia[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nani aliwahi kukukomalia ukaingia line??Iko poa komaa kitaeleweka soon
Mi nalima mazao ya chakulaUnalima nn mkuu?
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Good
Sawa dadaNimeshakusamehe kaka uwe na Amani
Siiioni mkuu[emoji1]Angalia vizuri bhn
Sijui tena mwenyewe[emoji1]Kwahiyo unataka wali uliopikwa krisimasi mimi nile siku ya boksing dei, wengine wakiwa washashiba??