Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,007
- 150,542
UsiofuuuAkikujibu niite na wakati ye ni mtu mzima Alna watoto wawili
UsiofuuuAkikujibu niite na wakati ye ni mtu mzima Alna watoto wawili
Mmeanzisha mradi mke mweeeEwaaaaaa basi download huko huku baba d ataweka akipata nafasi [emoji1][emoji1] acha wanaotoa hela kwa group wapate mavitu kila siku
Ila wajuee hatuna shida na pesa zao wanatimiza wajibu wao tuHela yao tu ndio itawafanya waungwe kwa group baba d
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nashkuru mamy zawadi zangu zilifika salama kwa mtoto jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baba Wenger niajeeee....
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Niko poa kabisa my swi
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Mambo hayo ya chumban ntakwambia [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu ww mbona unamuonea mume wnguSawa sawa endelea kukariri shemela bongo movie yetu tunajuana na tunakulana nyie sasa [emoji1][emoji1] ata pm sijui kama mshawahi salimiana
Hapana mke mwee sio mradi jamani hivi hata nyie hamjisikii vibaya baba d wa watu anahangaika kwa ajili ya kuweka story tu hapa we kama unataka tukuunge sema mke mwee kuna watu wengi sana huko ujueMmeanzisha mradi mke mweee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni kweli ni wajibu wao tuIla wajuee hatuna shida na pesa zao wanatimiza wajibu wao tu
SwalamaaaUmeamshwajeee
OhoooooBaba D jamaan si uliniambia unaenda kumuona wenger nikakupa na vitu vya mtoto upeleke usiniambie haujapeleka
Naona majtoa ufahamu hadharaniVeeeeep jamaan na kushangaaa
Simuonei mke mwee huwa ananianza mumeo mimi nikimalizia naonekana mbaya [emoji1][emoji1] mwambie asiwe mgomvi na wakati anakaa nyumba ya vioo sawa mke mweeHalafu ww mbona unamuonea mume wngu
Sawa mke mweee mtaniunga na namba ya bb JJHalaf tuna group letu la mastory huko kila siku mavitu
Hakuna mtoto hapa wote wazee [emoji1][emoji1]Naona majtoa ufahamu hadharani
Mambo yenuKipiiii kikushangashachoooo
Mtume hela kwanza ndio mtaungwaSawa mke mweee mtaniunga na namba ya bb JJ
Ya kwetu ndiooMambo yenu