Binamu anataka kuniletea kesiii wakatii wewe unanidaii simu faiiiiivuuuuu
Duh, hapa anko kidogo unikamate maana mawazo yangu yalichafukwa ghafla bin vuu yakanikimbiza hadi VGA nikadhani ni kifupi cha ile baiolojia maarufu, topic ya fomusirii repurodakisheni

Alafuuu wewe mbona unapendaa kuniudhiii wewe mwanamke
Haiwezekani Tumosa atiiii amrii wewe hutaki kusikia
Baba wawiliMwana mpotevu upo
Shikamooo...inabidi nitafute kamera ili niifotoe hii galaxy mpya yenye cover. Au yako inaweza kujifotoa yenyewe, yaani kama 'oneself'
Salama hbr ya ntwaraMarahaba , habari za mashindoni?
Salama hbr ya ntwara
Mambo ya dar waachie wenye dar yao binamu,mie cjamboNtwara kuchele, ila leo nipo Lindi, nimekuja kutembea kidogo na kufurahia pande hizi za baba wakubwa zangu. Habari ya Dar.
Watu wa dar mnambwembwe, kumbe chipsi ni viazi bhaaaaaa
Waache wapambane na hali yao binamuNtwara kuchele, ila leo nipo Lindi, nimekuja kutembea kidogo na kufurahia pande hizi za baba wakubwa zangu. Habari ya Dar.
Watu wa dar mnambwembwe, kumbe chipsi ni viazi bhaaaaaa
Binamu santeeMuziki: Technolojia Inaendelea
Naamini kama wewe si mnywaji huwalaani wanaokunywa wakiamua kunywa siku ya leo, maana sisi wanywaji tunajuana kiusawasawa, hatuchagui siku ya kunywa. Nakusalimia Kapuku mheshimika, ninakusalimia sana tena nikiwa nimechangamka sawa sawia na hivi mama Samia keshasema huwa anapiga goti kwa mumewe basi hii ni kitu muhimu, aendelee hivyo hivyo maana Wandira Kazibwe ana stori nzuri kuhusu kuwa mke, kiongozi mkubwa na zaidi kuwa mwanamke. Hongera sana wanawake mliomo humu, FYI, mama yangu ni mwanamke.
Teknolojia inaendelea, kizuri share na nduguzo, kibaya sumu kula mwenyewe ufe utusumbue kukutafutia maziwa. Basi bhna, nimekaa najaribu kuizoea simu yangu mpya Samsung Galaxy, unajua hii kitu ni kama gelofrendi, mnakaa mnazoeana kidogo mwisho wa siku hamna kuoneana aibu, mkilala unaachia ushuzi taratibu na shuka mmefunikana gubigubi.
Niachane na blah blah, nimekaa beach hapa Lindi, yeah, leo nipo lindi jirani na bar nzuri ya Magereza (yaani mimi usiponikuta kwenye nyumba za ibada, utanikuta bar), najaribu kuizoea simu yangu, mambo ya beach sasa nikaona nitayanyima uhuru macho yangu, nikabeba darubini (binocular) nawaangalia tu waliokuja kuvinjari beach maalum kabisa kwa nguo za beach, sio mtu unaenda beach na vitenge au juba, waoneeni huruma wanaokuja kunenepesha macho, vaeni vitu vizuri.
Muziki sasa, leo charanga bhana, sijui lugha gani lakini naikumbuka REadio One ya enzi hizo za kina Anko Chalz, kama si muhenga utahangaika sana. nakuwekea clip hii, haina ubora wa kivile lakini utaifurahia
Nenda kwa laraSalama hbr ya ntwara
Shikamoo BinamuMarahaba , habari za mashindoni?
Hivi Binamu ngoja nikuulize unaona raha me kugombana na mjomba ako....kuwa mkweli anko, hela uliyonituma niipeleke kule kwa teller tolu ndo nimeitumia kununua simu Samsung Galaxy, au hupendi Makapuku wajue?
Weka picha ya box acha longolongo binamu...inabidi nitafute kamera ili niifotoe hii galaxy mpya yenye cover. Au yako inaweza kujifotoa yenyewe, yaani kama 'oneself'
....kuwa mkweli anko, hela uliyonituma niipeleke kule kwa teller tolu ndo nimeitumia kununua simu Samsung Galaxy, au hupendi Makapuku wajue?
My love niambieBaba wawili
Asante kwa musicMuziki: Technolojia Inaendelea