Mbona haujasema binamu jaman tukuwishHuu ulikuwa ni mwezi wenye maana sana kwangu, kwanza ni mwezi wa 8 na ndiyo mwezi niliozaliwa. tarehe ishapita. nilitaka ujue tu.
Na nimeona WCF wamevaa mawigi kana kwamba wamekuja na ubunifu mpya, ha hahahahaha! At least tujenge tabia ya kusema mavazi yetu yamekuwa influenced na Outcast
Nilikuona ujue.... Ukitoa hongera... Just be honestMimi tena woiiiiii sijui mie kitu najuaje kitu nisikwambie unanijua mimi
MmhI don't want it...
Mimi au weweKo nifee?
Woyooooooo....ha hahahahahah, ule utunda ukitoka kambani huwa unadundadunda, yaani hata wale wa ile kanda yetu pendwa hutikisika (wakizivaa ofukozi).
Afu inaelekea ndo masuala zako hizi ndudu
Ulale unonojamanii usiku mwema .....kesho tena tutakuwa pamoja nili miss sana hii thread yetu pendwa
Binamu huwez kusahauha ahahahah, not really! Anko wangu yeye anapendaga shanga 700, Shululu yeye akasema 1500, hizo 2000 anaweza kuwa labda mzeewakungoa
Asante binamu
Khaaa mm dada nilikuta watu wanatoa hongera ujue sijaendelea zaidi juu nikasa t naona watu wanakupa hongera ila sijui kwa niniNilikuona ujue.... Ukitoa hongera... Just be honest
Baby unanionaaa .....
Hongeraa mwaya.... Wanasema kitanda hakizai haramu.... Am happy for you TKina mondray
Hata wewe ulikiri kabisa, kuwa uende kwa mama ashura upate trainingMe naanzaje kupelekwa kusoma shemela jaman
Why lakini?I don't want it...
Hamna shidaKama nakuona ujue
Mbona haujasema binamu jaman tukuwish
ahsante cheupe leo ngoja nikilala nimvutie picha sakayooo.... na geisha languUlale unono
HayaHahaaaaaa
ha hahahahahah, ule utunda ukitoka kambani huwa unadundadunda, yaani hata wale wa ile kanda yetu pendwa hutikisika (wakizivaa ofukozi).
Afu inaelekea ndo masuala zako hizi ndudu
Binamu nambie nan kasemaa...Anko bora umekuja maana kulikuwa na jungu unapigwa hapa eti umetekwa na mdada mpya wa morogoro? Sijasema mimi ujue, nimesikia tu