Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana aisee jf kibokoIla watu wamepinda aisee..
Huyu jamaa anaye jifanyia interview kaniacha hoi sana..
WapiiiIla watu wamepinda aisee..
Huyu jamaa anaye jifanyia interview kaniacha hoi sana..
Hahaa..Ila watu wamepinda aisee..
Huyu jamaa anaye jifanyia interview kaniacha hoi sana..
Hata mimi kanivunja mbavu!
Hapana niliishia mwanzo bada ya kuona hailetwi tena badae analeta nimeingia na uvivu kabisa kuisomaMacho yako yale kama vikopo..
Hivi ile Riwaya ya Ufukwe wa Madagaska uliisoma yote..
Shunie wa kukulana tena [emoji3][emoji3]Mm mwanaume mashineeee shunie anajuaaa
Mmh [emoji134] [emoji134] Baba D si nilirudi umenichunia jaman hivi naanzaje kukukimbia mimiUmenikimbiaa wewe
[emoji85] [emoji85] kweli baba d si huwa unaona wanavyopenda kuharibu jina languKama nakuonaaaaaaaaaa
Hahaa..
Wapi huko?
Si hunipendiiiMmh [emoji134] [emoji134] Baba D si nilirudi umenichunia jaman hivi naanzaje kukukimbia mimi
Umeanzaaa baba d sipendi mimi hizo mamboSi hunipendiii
Jf raha sana mkuu..
Watu wamepinda kuliko Kiazi..
Avatar zote za mjukuu wangu Shunie zinaonyesha 'portable' lakini Yeye mwenyewe anatwambia yeye ni kibonge... Hhmmm. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sijambo babu shikamoo
Ataleta buanaDaah mbembelezeni jamani ailete yote Arosto mbaya..
Yule jamaa sijui aliwazaje...
Naamu shemejiShemeji
Babu avatar zangu zisikutishe kabisa ujue muulize baba d akwambie me ni kibongeAvatar zote za mjukuu wangu Shunie zinaonyesha 'portable' lakini Yeye mwenyewe anatwambia yeye ni kibonge... Hhmmm. [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimeonaaa nikashindwaa cha kujibuuuUmeanzaaa baba d sipendi mimi hizo mambo
Mkuu watu wabunifu tu just think kama watu walivyo buni huu uzi wa makapuku, uzi wa like etc..