Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Lipul wameonewaaa lile goli la vyura kiutaalam halina ukweliii ila madogo wamecheza na umoja wao nimeupendaWanayanga ile ilikuwa nguvu ya soda sio
Lipul wameonewaaa lile goli la vyura kiutaalam halina ukweliii ila madogo wamecheza na umoja wao nimeupendaWanayanga ile ilikuwa nguvu ya soda sio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachoonekana dstv sio livuuuuu....Arsenal inacheza alhamis hii ya iraq
Ila ukimuoaa kama clkey familia itavumilia mengiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni aibu ni kubebwa tu kila siku Yanga tuLipul wameonewaaa lile goli la vyura kiutaalam halina ukweliii ila madogo wamecheza na umoja wao nimeupenda
Wewe mimi tulishindwana kwa sababu ya haya mambo..Ila ukimuoaa kama clkey familia itavumilia mengiiii
Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kyaWewe mimi tulishindwana kwa sababu ya haya mambo..
Siku kama ya leo hakuna hata "hi" [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa....Akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kya
TunashukuruMzima kabisa shem wane, anakupeni salamu
Wewe timu ganiiiiTunashukuru
Shululu hajambo shemela,hayo ni matokeo kama matokeo mengineMsalimie kaka shululu
Ya baba wawiliWewe timu ganiiii
Shemela mbona unatetea sasa?Shululu hajambo shemela,hayo ni matokeo kama matokeo mengine
Poleee sanaaaaYa baba wawili
Aaaaah msije anza kumtupia madongo baba wawili wnguShemela mbona unatetea sasa?
Wacha tufanye utani kidgo bhana..ndio raha ya soka.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Poleee sanaaaa
Hatutupiani madongo bhana...! Tunafanya utani tuuAaaaah msije anza kumtupia madongo baba wawili wngu
Za jioni my loveYes my sweetheart