shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Kweli shemelaKweliii
Kweli shemelaKweliii
Kunguniiiii mwituuuuShuubaaaamiiiitiiiiii
Puchu ndio nini tuanzie hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo kuna kazi anafanya nazo isije ikawa anazipigia puchu kyupi za watu Baba D
[emoji109] [emoji817] [emoji817] [emoji817]Anataka kuwa sugu ...acha asuguliweee
Nitag plzPuchu ndio nini tuanzie hapo
Nawaza tu Baba D labda wanataka kuharibiana biasharaNdo uacheee kuzitumiaaa
Muulize mpendwa we binamu juzi alilitumia hill neno shem wanePuchu ndio nini tuanzie hapo
Ndio uache sasaAisee mpaka nimeogopa jaman wapenda Brazilian hair ujumbe wenu huo Tapatalk Cloud - Downlaoad File VID-20170825-WA0007.mp4![]()
Na yenyewe pointNawaza tu Baba D labda wanataka kuharibiana biashara
ICHEZESHEVIDEO YENYEWE HAICHEZI
Kiaje sasaICHEZESHE
Wacha tusubirieNitag plz
Husna muba PUCHU NDIO NINIMuulize mpendwa we binamu juzi alilitumia hill neno shem wane
Si nimetuma tena shemela jamanKiaje sasa
Uifanye ichezeKiaje sasa
Akuje ajibu juzi nilimsikia ndio nimeigaHusna muba PUCHU ND NINI
Neno mujarabu kabisa[emoji524] Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu [emoji524]
WAKORINTHO 7:3-5
MUWE NA MCHANA ULIO MWEMA KWENU [emoji7] [emoji120]
Barikiwa shem wane[emoji120]Neno mujarabu kabisa
Ahsante sana mama D
[emoji35]Kunguniiiii mwituuuu