Salama kabisa mkuu eden kimarioKwa hisani ya simba sc
Habari ya asubuhi wana wa makapuku forum
Pia nawaambia fans wa Yanga kumekucha wawahi kazini
Morning to youMorning all kapuku
KaribuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Chaplin
Wanatafuta mkojo kwa huyo mbunge au?
Hivi na blogs pia zitahitaji usajili?
Timu ishirini????
Asante Nyagei, uko poa lakiniKaribu
Nzuri mkuu za kwakoHabari za asubuhi nyote.
Salama kaka, kumekucha.Nzuri mkuu za kwako
Shukrani mkuu shululu wa Tumosa kwa magazeti mubasharaView attachment 573705Asubuhi njema makapuku wote