Leo katika Historia
1911- Picha ya Mona lisa yaibwa.
Picha hiyo iliyochorwa na Leonardo da Vinci ilijipatia umaarufu mkubwa.
Leo katika historia
1983 - Benigno Aquino Jr ambaye alikuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Ufilipino, auwawa katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Manila.
Leo katika historia
1991 - Latvia yajipatia Uhuru wake.
Pamoja sana ankali JJAsante kwa magazeti ankali
AsanteLeo katika historia inawajia hivi punde......
![]()
Next match Real bila Ronaldo bila Ramos
....
Dume la ng'ombeRamos kwa umeme tu hajambo
Pia ni mshindi wa tuzo ya MO IBRAHIMLeo katika historia
1939 - Festus Mogae anazaliwa.
Ni Rais wa 3 wa Botswana.
HBD UsainLeo katika historia
1986 - Usain Bolt anazaliwa. Ni moja kati ya wanariadha mahiri na bora wa wakati wote kutoka nchini Jamaica. Anatimiza miaka 30 leo huku akiwa kwenye michezo ya Olimpiki huko Jijini Rio.
HBD Robert LewandowskiLeo katika historia
1988 - Robert Lewandowski anazaliwa.
Mshambuliaji hatari toka nchini Poland anayekipiga klabu ya Bayern Munich.
Kwangu mimi namchukulia kama Mshambuliaji hatari kando ya Luis Suarez.
Asante ankali JJ kwa historiaLeo Katika Historia:
Sina la ziada ama kweli mwezi August ni mwezi wa Viongozi.
Na kwa udhamini mnono wa wababe Chelsea, tukutane tena kesho.
Niite Jimena Jimenes
Hasta la Vista!!
Anafujo sana aiseeDume la ng'ombe
Fujo tupo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Morning ankali JJMorning family!!
Leo katika historia
1931 - Gustavo Noboa anazaliwa.
Ni Rais wa 51 wa Ecuador.