Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Kwaito sitachezwaaa Hataree..!Sipati picha wakwe watakavyombeba mbonde
Kaskazini itasimama. [emoji3][emoji3]
T wa S
Kwaito sitachezwaaa Hataree..!Sipati picha wakwe watakavyombeba mbonde
MmhNakuta watu kama akina Dume jeuri na Tomaso wameamka na hangover [emoji124][emoji124][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Wewee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyoooooooooooooooo
Mimi wa sakayo jamaani...Ahhaah me sikubishii dada jaman naomba uweke signature jaman mbona T wa watu kajitoa muhanga hivi una ninii lakini upendwe veeep
Umesahau..[emoji116][emoji116]Nalifahamu hilo T mpaka kifo ndio kitakachowatenganisha au mtakufwa kwa pamoja tuwazike pamoja
:![]()
Chelsea kafufuka
.....
Kama hajavunja glass humo ndani [emoji3][emoji3][emoji3]Nacheka Sina Mbavu mieee.... Ujue Shunie una utani eeehh
Eeeh..Halafu nina bahati ya kupendwa mpaka najishtukia... We unataka niwe kina naniliuu eeehh
Hahahaaa...Mbona una kelele
Kwani siku zote upo wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Ndio hivyoMbona una kelele
Kwani siku zote upo wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Yaani inabidi nipange Cruisser za kwenda kule miliman..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada me kosa langu nini jaman ujue namsindikiza T mie huko kuja kutoa mahari
Shemela kwenye ubora wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada ebu weka signature jaman nifurahi tu mdogo wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sina mbavu mie nimekumbuka kitu ujue ile tunafika mara paaaaa unatukimbia woiiiiiii
Can't wait...Kwaito sitachezwaaa Hataree..!
Kaskazini itasimama. [emoji3][emoji3]
T wa S
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utoto unakusumbua kijana ...
Mengine huwe unaandika kwa kifikiria
[emoji3] [emoji3] [emoji3] shikamoo baba DMsalimiee babu yako
HahahaMimi wa sakayo jamaani...
Pm zipungue sasa...[emoji41]
T wa S
My loveLabda Obe au mfugaji ni yupi kati ya hao
HallelujahUmesahau..[emoji116][emoji116]
Siku ya kupaa kwa Muumba Napaa nae..sitomuacha vile vile.
T wa S