Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
Duh! Mie muslimAiseee sio mimi muslim jaman
post using my macbook air using jamiiforums app
Duh! Mie muslimAiseee sio mimi muslim jaman
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
.ya siku nyingine inakuwagaje?!
NakumissDada akee shunie unaendeleaje lakini jaman
SawaMungu anasaidia saana..
post using my macbook air using jamiiforums app
Asante kwa kunijulisha me mkristo yaan kindaki ndaki najivunia sanaa dini yangu na ninaipenda sanaDuh! Mie muslim
post using my macbook air using jamiiforums app
Me zaidi Dada angu usisahau tukutane pande zile za kijiwe chetu tutetee wee nimemimiss kuteta dyadya [emoji41]Nakumiss
SawaAsante kwa kunijulisha me mkristo yaan kindaki ndaki najivunia sanaa dini yangu na ninaipenda sana
Muislam we kitimoto inapanda eeenh ila sishangai ujue waisalam wengi wanaipenda sana hiyo nyama shededeSawa
Karibu kitimoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app
Bahambie huyoo[emoji3][emoji3][emoji3]Usiniquote ujinga siku nyingine
MmmmhMe zaidi Dada angu usisahau tukutane pande zile za kijiwe chetu tutetee wee nimemimiss kuteta dyadya [emoji41]
Hakuna dada angu kusutwa ni nini kwani ebu ingia pm jamanMmmmh
Tutasutwa ujue
Sipendagi mie ujinga ujingaBahambie huyoo[emoji3][emoji3][emoji3]
post using my macbook air using jamiiforums app
Me ni lutheranShunie we dhehebu gani?
Mi naikubali saana,japo naila kimanati saana yaan kwa kujificha..Muislam we kitimoto inapanda eeenh ila sishangai ujue waisalam wengi wanaipenda sana hiyo nyama shedede
MkristoShunie we dhehebu gani?
HahahaHakuna dada angu kusutwa ni nini kwani ebu ingia pm jaman
Me ni lutheran
Nzuri shululu Wa tumosaMpendwa wa Obe za kwako