eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
Tottenham 1
Chelsea 2
Chelsea 2
Eeeeh...
Usijetapika mbele ya wakwe tuu next week.
T wa S
WoyooooooooooooooooSipati picha wakwe watakavyombeba mbonde
Ahhaah me sikubishii dada jaman naomba uweke signature jaman mbona T wa watu kajitoa muhanga hivi una ninii lakini upendwe veeepHivi Umeanza lini kubishana na dadako
Asanteh kwa update, niliangalia kipindi cha kwanza tu...Tottenham 1
Chelsea 2
Nalifahamu hilo T mpaka kifo ndio kitakachowatenganisha au mtakufwa kwa pamoja tuwazike pamojaNimesha sign mkataba mimi..
T wa S
EtiiVizuri km tumemisiana
Wacha weeMi dini zote zangu[emoji4]
Woyoyo woyowoyo[emoji23][emoji23]Woyoooooooooo
Nacheka Sina Mbavu mieee.... Ujue Shunie una utani eeehhWoyoooooooooooooooo
Koh koh!Eti jamani kuna MTU yuko mbeya humu?!
HallelujahNalifahamu hilo T mpaka kifo ndio kitakachowatenganisha au mtakufwa kwa pamoja tuwazike pamoja
Halafu nina bahati ya kupendwa mpaka najishtukia... We unataka niwe kina naniliuu eeehhAhhaah me sikubishii dada jaman naomba uweke signature jaman mbona T wa watu kajitoa muhanga hivi una ninii lakini upendwe veeep
Bitozi uko wapiiiii
Tottenham 1
Chelsea 2
Mbona una keleleMagoli yote wamefunga chelsea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada me kosa langu nini jaman ujue namsindikiza T mie huko kuja kutoa mahariNacheka Sina Mbavu mieee.... Ujue Shunie una utani eeehh
AmeeeenHallelujah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msisiii tu dada jaman ujue mbona ye kaweza T wa watu woiiiiHalafu nina bahati ya kupendwa mpaka najishtukia... We unataka niwe kina naniliuu eeehh
Wapii hukooo labda... Sipendi uchochezi ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada me kosa langu nini jaman ujue namsindikiza T mie huko kuja kutoa mahari