Sitaki kuamini,,,,,, lile sufuria looote jamanii....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada yaan najiskia kula tu jaman ndizi me ndio huwa zinanifanya hivi ujue
Sasa huyu ni nani lakini dada T huyu ujue ndio mzuriUsicheke Shunie... Huyoo sio yuleee nimjuae
AhhahahaYaani unafurahi kweeeli mdogo wangu
MmmmhKunywa shem wangu mie ata chupa tatu muhudumu aje achukue elf 10 yake
Cjambo pole na majukumuMarhabbaaa... Hujambo mjukuu mwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zimebaki buana nataka kula tena nikikaribia kwenda kulala hapana jamanSitaki kuamini,,,,,, lile sufuria looote jamanii....
Ha ha ha ha ha haAya babu yao
Madame S
HahahaNalifahamu hili hata chakula huws hakipiti kabisa
Mwezi wa 10...Najua T... Mie pia Nakupenda ujue
Mwenyewe Siamini.... Mungu amtunze tuu jamaniiHapana dada ujue maneno yananiingia hujui tu
Pole pole babyMmmmh
Naachaje kwaito sasa? [emoji3][emoji3]Uko Sawaaaa kweeeli... Usije badili gia angani Uwe padiri
Kwahiyo haufurahii mumeo kunywa mma unataka akunywe beer enhMmmmh
Sakayo una asili ya Bukoba?Samahani mdogo wangu... Kikibaki kitenge mnikumbukemo na miee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo T huyu humtaki kabisaHahaha
Uchochezi huoooo.... Halafu mtu awe padiri si nitakufwaa miee
HahahaSitaki kudanganywa dada jaman
Wooooooozaaaaaaa nipo mbele kabisa na kimini changu cha kitengeMwezi wa 10...
Kina Tumosa na shunie wajiandae kuvaa Vitenge.
Unakumbuka kile kivuli eeehhNimefanyaje tena dada jaman nawapenda sana jaman hamjui tu
Nn jamani [emoji85][emoji85][emoji85][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ameeeen hili ndio la muhimu kuliko yote jamanMwenyewe Siamini.... Mungu amtunze tuu jamanii