Anakula kwa masaa 20??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Non stop au2/Brown Bat
Popo ni ndege au ni mnyama ?
Mtabishana siku nzima naana jamaa ana manyonyo kama ng'ombe halafu anaruka kama kunguru
Hapa namzungumzia popo wa kahawia sio uliowazoea wewe
Sasa ukisikia team popo ndio uekewe kwamba ni watu wanaokuwa macho mida ya usiku kuliko mchana
Humu nfani binamu Obe labda ndoye popo wetu
Kwa siku hulala masaa 20
....................................................................
Achana na popo kuna mnyama mwingine bwege aitwaye Sloth yaani huyu ukimwangalia tu sura utaelewa
Kwa siku hulla masaa 20
.....................
HulalaAnakula kwa masaa 20??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Non stop au
Madame S
Masaa 22 wanalala wana usingizi mzuri sana asante bitoz kwa top ten1/Koala
Sijui kwa kiswahili wanaitwaje
Ila naona tu kama vile ni dubu wadogo
Hawa wanafanana na dubu ila siyo dubu kivile
Wanapatikana barani Australia ila kumbuka tu Australia ndio nchi pekee duniani ambayo pia ni bara
Wana uwezo wa kuishi miaka 18
Hawa ndio vingozi wa kulala duniani yaani wakati wenzao wapo bize kujenga viota,kulea makonda,kuwinda na kucheza wao wapo usingizi wa pono !!!
Kwa siku hupiga usingizi masaa 22
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesgo
Mwisho
................
Hatujambo,hofu kwako maeSijambo mpenzi... Vipi wewe waendeleaje jamanii na watoto
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante my swi
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Nifanye basi hata mchepuko wako hautojuta.
[emoji112] [emoji112] [emoji112][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji40][emoji40][emoji40]
Haya[emoji40] [emoji40] [emoji40]Ndio hivyoo usije kuyapeleka bure