Makapuku Forum

Top Ten leo August 14 2017


Wasalaam..

Leo nawaletea Top Ten..kwa hisani ya Bitoz na Sakayo.

Mawasiliano ni jambo la muhimu kwa maisha ya sasa,kila kitu kinataka masiliano ambayo yanaratibiwa na Computers zetu wenyewe.

Lakini, hatuwezi kutamka masiliano bila kuacha masiliano ya internet.

Mfumo wa internet wa world wide web ( www) umekuwa ukitumika kila siku kuhifadhi na kisafirisha data na mafile kedekede kutoka sehemu moja kwenda mahali pengine.

Mtandao unahitaji usalama na ulinzi. Lakini kumekuwa na baadhi ya wataalamu wa computer (Hackers) kufanya wizi na uvunjifu wa sheria za kimasiliano na mifumo ya computers..


Leo Tuone watu 10 waliofanya wizi wa data, na kuingia kwenye computers za watu bila ridhaa..


Tuwe pamoja. Nikishindwa kutafsiri kuja kwenye kiswajili mtanisamehe..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…