Leo katika Historia
2015 - Ubalozi wa Marekani nchini Cuba wafunguliwa tena mara baada ya kufungwa kwa miaka 50 iliyopita kutokana na uhusiano mbaya wa Marekani na Cuba.
Hahaaa sawa mzee mi Leo Nina ugomvi na kitandaFresh tu
Ukiona kimya ujue wapo bize
...
Eeimeen
Tuwe na mwanzo mwema wa wiki Mungu atuongoze kwa kila jambo
Nawe piaFresh tu wadau
Kama mnavyojua Jumatatu full pilika za kuanza week !!
Muwe na siku njema
.....
DadakeeNawe pia
Mkuluuu uko poa ...Eeimeen
Tycoon MAKAVELI Jr.
Shem akeeDadakee
Uko poa mdauFresh tu
Ukiona kimya ujue wapo bize
...
Niko poaMorng bi dada
Tycoon MAKAVELI Jr.
Nambiee shem lakeeShem akee
Morning mkuuMorning makapuku wenzangu!
Nimekuhamu ujueNambiee shem lakee
Ameeeeniii[emoji524] Nitamshkuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu
Nitafurahi na kukushangilia wewe, nitaliimba jina lako, wewe uliye juu [emoji524]
ZABURI 9:1-2
MBARIKIWE SANA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA [emoji120] [emoji7]
Ni kwelii make ata mpashano wa asubh tunakwepanaNimekuhamu ujue
Hiyo homa veepe...Ni kwelii make ata mpashano wa asubh tunakwepana
Ila Mungu yu mwema mambo yamebana kidogo ...
Sema nina kihoma nimetulia hapa
sijui uchovu sijui kimalariaHiyo homa veepe...
Pole mnoo na majukumu
Leo katika Historia
1968 - Halle Berry anazaliwa.
Ni mwanamitindo, Muigizaji na Miss United States wa 1998.