YOSHUA 1
8.Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako,bali yatafakari maneno yake mchana na usiku,upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo ,maana ndipo utakapofanikisha njia yako,kisha ndipo utakapostawi sana.
Muwe na usiku mwema jamani mlindwe na damu ya Yesu