Makapuku Forum

Ewaaaaaa kunywa kinywaji chochote maka bill ije kwangu
 
Mara nyingine mtu anaamua kuendelea kuishi nae ili aone kama atabadilika maana yake anamvumilia.
Kuvumiliaje koncho zaidi ya ulivyomvumilia jamaan koncho acha nikupe pole najua upo kwenye mahusiano hayo ila acha maisha mengine yaendelee jamaan haujazaliwa naye huyo mmekutana ukubwani tu mapenzi kweli yanaumiza lakini Mungu kaumba kusahau utamsahau tu utampata tu atakayekupenda wewe kama unavyompenda mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…