eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Akikudanganya utajuajeUnajua tu mkianza kutaka kufahamiana
Wazma kbsa mke mweeeD hajambo mke mwee sijui wenzie wakina jj
We bwana we mnadanganyana vipi na wakati mtakuja kuonana jamanAkikudanganya utajuaje
Asante kwa kuniongezea siku za kuishikawaida mamy ucjal
DuhNajiuliza tu humu jf unajuaje huyu ni mwanamke kweli au mwanaume kweli
Maana watu wa dunia wamebadilika sana
Ahahhh majina yapi mbona we jina lako la kiumeMaana majina ya humu ni balaa
Zina uhondo gani husna? Me harufu yake inanikwazaPole wee unakosa uhondo ujue
Ana haki ya kushangaa maana hakusomeki hukuanatushangaa ujue
Kumbe tupo wengi kuhusu ile harufu aise kuna siku nilitapikaZina uhondo gani husna? Me harufu yake inanikwaza
Madame S
Ana haki ya kushangaa maana hakusomeki huku
Madame S
Njugumawe binafsi sizipendi yan na ile harufu ndio kabisa nabaki napambana na hali yangu at least mbaaziKumbe tupo wengi kuhusu ile harufu aise kuna siku nilitapika
unakuja shangaa unatongoza mwanaume mwenzio
Me hata hizo mbaazi siziwezi jaman na njegere mpaka auntie yangu huwa ananiambia na mapepo niende kanisani nikaombewe namjibu sawa auntie nina mapepoNjugumawe binafsi sizipendi yan na ile harufu ndio kabisa nabaki napambana na hali yangu at least mbaazi
Madame S
Wapo wengi nasikia au mwanamke kujifanya mwanaume ila humu kuna mtihani mpaka mnavyoanza kutongozana mpka kukubaliana mpaka mje kujuanahiyo hatari lakini kwa nn mwanaume ajidai mwanamke sasa?
Madame S
Me hata hizo mbaazi siziwezi jaman na njegere mpaka auntie yangu huwa ananiambia na mapepo niende kanisani nikaombewe namjibu sawa auntie nina mapepo
mbaazi njegere natumia zipikwe vyovyote vile kizaazaa kipo kwenye maharage ya sukari na hizo kunde ziwe za sukari niko radhi nishinde njaa siziwezi kabisa
Madame S