Umefanya la maanaNdio mana nimeamua kutoka kabisa kwenye ule uzi
Kaacha siku nyingi, siku hizi anafuga tuMpiga mbiz..
Oya harafu ushaacha kuvua perege matopeni jamaa yangu
Labda binamu yako hajui kama umetubu Baba DJionee na wakat nshatubuu
Asante makaveli mich u tuuMichi yuuu
Mnoo yaani.. meno 30 na nje yote mbiliAhhaha yaan umefurahi sana
Hapa chit chatWapii hukooo
Haaaaahaaaa jirani umetisha sanaDaily nakwambia punguza misumali mwanangu, mie nshaacha siku hiz.[emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa nikipiga chafya moshi unatoka, sasa hv mwepes akili kama isaac newton
Acha unaa..Nasikia hadi leo una uzwazwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Atakuwa nayo obeEbu niwekee hapa picha yake nimuone mke mwee jaman
Me ndio nipo hivyo nikiona mtu anaanza kunitukana kiroho safi tu huwa natoka kwenye huo uzi sirudi tenaUmefanya la maana
Siku nyingi nilishajiwekea nadhiri ya kutogombana na mtu Jf
Kama ananizingua namkwepa tu ila muda wa malumbano sina bora hata niutumie huo muda na bando kulisha bata
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Amelala TMuite basi...
Manake sipokelewi simu..
Ataachaje sasaNawe ushapuliza bangi zako au sio..
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wewe makaveliMnoo yaani.. meno 30 na nje yote mbili
Unajua cheko la harusi ya maskin!!?
Duh.. mpaka kakushinda ww tabia bas kashindikana.Huyo demu muhuni sana
Kanishinda tabia
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
Mishe mishe iko poa kabisa jirani, vip upande wakoSaf jiran, mishe ni vip jirani?
Binamu akikuja mke mwee mwambie aniwekeeAtakuwa nayo obe
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Si hapo binamu yako unamlalamikia kwa kukunyanganya queen wako
SawaBinamu akikuja mke mwee mwambie aniwekee
Mama chibonge na mama chibonge..Sisi vibonge hatufananii nao hao